Njia rahisi zaidi ya kununua na kuuza bidhaa za kielekitroniki mtandaoni, unachohitaji ni namba yako ya simu tu.
Inarahisisha upatikanaji wa bidhaa za kielekitroniki kama vile vitabu na kumuwezesha mnunuzi kuuza nakala aliyoimiriki na hata nakala zingine zaidi kupitia programu ya mali kauli na kujipatia faida.
kitabu utakachonunua kitaifadhiwa kwenye maktaba yako kwa ajili ya wewe kukisoma au kukiuza muda wowote utakao hitaji.
bonyeza hapa kuingia ndani ili uweze kuchapisha, kuuza na kuona taarifa za mauzo ya vitabu vyako.